08 December 2026
| Wakati | Kitendo | Mhusika |
|---|---|---|
| 1:00 - 1:30 Asubuhi | Kuwasili kwa Wageni Waalikwa | Kamati ya Mapokezi |
| 1:30 – 2:00 Asubuhi | Kuwasili kwa Viongozi mbalimbali | Kamati ya Itifaki |
| 3:00 Asubuhi | Kuwasili kwa Mgeni Rasmi | Uongozi wa ZSH |
| 3:15 – 3:25 Asubuhi | Kupokea matembezi ya Wanataaluma na Wahitimu | Mgeni Rasmi |
| 3:25 – 3:30 Asubuhi | Kuzindua kozi mpya ya Physiotherapy | Mgeni Rasmi |
| 3:30 – 3:35 Asubuhi | Wimbo wa Mashujaa | Washiriki wote |
| 3:35 – 3:40 Asubuhi | Dua ya Ufunguzi | Mwanafunzi wa ZSH |
| 3:40 – 3:45 Asubuhi | Utambulisho wa Wageni Mashuhuri | MC |
| 3:45 – 3:50 Asubuhi | Burudani | Washiriki wote |
| 3:50 – 3:55 Asubuhi | Kuundwa kwa Mahafali ya Kumi na nne (14) | Mgeni Rasmi |
| 3:55 - 4:00 Asubuhi | Risala ya Wahitimu | Wahitimu |
| 4:00 – 4:05 Asubuhi | Risala ya Chuo | Mkuu wa Chuo |
| 4:05 – 4:30 Asubuhi |
Mgeni Rasmi kuwatunuku Wahitimu Stashahada za:
|
Makamo Mkuu wa Chuo Wakuu wa Idara za Taaluma |
| 4:30 – 4:35 Asubuhi | Kiapo cha uaminifu kwa Wauguzi na Wakunga | Mkurugenzi Idara ya Uuguzi na Ukunga. |
| 4:40 – 4:45 Asubuhi | Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi kumkaribisha Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali | Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi |
| 4:45 – 4:50 Asubuhi | Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali kutoa salamu na kumkaribisha Mgeni Rasmi kutoa Hotuba | Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali |
| 4:50 Asubuhi | Mgeni Rasmi kutoa hotuba | Mgeni Rasmi |
| 5:10 – 5:15 Asubuhi | Kutoa Zawadi kwa Wanafunzi Bora | Mgeni Rasmi |
| 5:15 – 5:20 Asubuhi | Salamu za Shukrani | Mkurugenzi Mtendaji |
| 5:20 – 5:25 Asubuhi | Kuvunjwa rasmi kwa Mahafali ya Kumi na Nne (14) | Mgeni Rasmi |
| 5:25 – 5:30 Asubuhi | Picha za Pamoja | Itifaki |
| 5:30 Asubuhi | Kuondoka kwa Mh, Mgeni Rasmi | Uongozi wa ZSH |
👋 Karibu! Ask us anything about admission, programmes and fees.